maandag 7 november 2011

ufunguzi wa kituo cha vijana Newala


Siku ya tarehe 31.october.2011 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wakazi wa Newala hususani vijana . Hii ni siku ambapo Kituo cha vijana ( Newala youth resource center ) kilizinduliwa rasmi na balozi wa Norway nchini Tanzania Bi Ingunn Klepsvik. Katika kituo hiki vijana watapata huduma za vitabu, vijarida na magazeti yenye taarifa mbalimbali zenye kuleta maendeleo. Vile vile watapata fursa ya kushiriki katika michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye kituo hiki.

Volgers

Over mij

Mijn foto
He writes at his own capacity on issues related to global health ;Covering such topics as communicable and non-communicable diseases, Reforms in health care, health care and politics, health promotion, Technology in health care...and many more. Scientific publications: https://scholar.google.com/citations?user=93RLoFwAAAAJ&hl=en