dinsdag 22 december 2009

Vijana na mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI

Vijana kupitia Mtandao wa vijana wa Newala (NEWALA YOUTH NETWORK) wamekuwa mstari wa mbele kupambana na UKIMWI. Wameweza kutoa Elimu kuhusu UKIMWI kwa njia mbalimbali zikiwepo matamasha ya muziki, mabonaza ya michezo mbalimbali, ngoma za aili na sanaa mbalimbali ambazo zimekuwa zikivuta umati wa Watu.Kwa kupitia mtandao huo pia wameweza kupeana mawazo namna ya kujiajiri. Wapo ambao wameweza kuendeleza vipaji mbalimbali kama vile utumbuizaji kwenye matamasha na hafla za kijamii na kiserikali. Wakali wa muziki wa kizazi kipya, wachekeshaji, waruka sarakasi, wataalamu wa ngoma za asili wanapatikana kupitia kikundi hiki.
Kama ukiwa Newala mjini wanapatikana kwenye ofisi yao iliyopo jengo la umoja wa vijana. Vilevile waweza kuwasiliana nao kwa kuwapigia viongozi wa kikundi kwa namba zifuatazo:
+255777266507- Mwenyekiti wa Kikundi
+255713396632-Mkiti Msaidizi
+255786525378-Mshauri
Email:newalayouthnetwork@gmail.com or neyonenewala@yahoo.com.

Volgers

Over mij

Mijn foto
He writes at his own capacity on issues related to global health ;Covering such topics as communicable and non-communicable diseases, Reforms in health care, health care and politics, health promotion, Technology in health care...and many more. Scientific publications: https://scholar.google.com/citations?user=93RLoFwAAAAJ&hl=en