maandag 7 november 2011

ufunguzi wa kituo cha vijana Newala


Siku ya tarehe 31.october.2011 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wakazi wa Newala hususani vijana . Hii ni siku ambapo Kituo cha vijana ( Newala youth resource center ) kilizinduliwa rasmi na balozi wa Norway nchini Tanzania Bi Ingunn Klepsvik. Katika kituo hiki vijana watapata huduma za vitabu, vijarida na magazeti yenye taarifa mbalimbali zenye kuleta maendeleo. Vile vile watapata fursa ya kushiriki katika michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye kituo hiki.

zaterdag 6 februari 2010

Chitekete 2.


Twendeni tukapime!!

Kupima kwa hiari


Hapo ni Chitekete, vijana wa NEYONE waliweza kufika na kuhamasisha watu kupima afya zao kwa hiari.

Hapo vipi!


Vijana wa NEYONE wakipozi kwa picha!

forward together backward never!


Vijana wa NEYONE na wataalamu wa afya, wakiwa kwenye picha ya pamaoja. Ni maandalizi ya siku ya UKIMWI duniani.

zondag 24 januari 2010

Uhamasishaji vijijini

Katika kazi mbalimbali walizofanya, ni pamoja na kuhamasisha vijana kupima na kujua hali zao kuhusiana na ugonjwa wa UKIMWI ambao ni tatizo kubwa miongoni mwa vijana sehemu mbalimbali duniani. Angalia video iliyopo kwenye tovuti iliyoandikwa hapo chini.
http://www.youtube.com/watch?v=0VtVjGyCs_Y

Vile vile waweza kuangalia video nyingine, ambayo ilichukuliwa siku ya tamasha la muziki wa kizazi kipya wenye ujumbe wa UKIMWI lilifanyika mjini Newala .
http://www.youtube.com/watch?v=s6bhPpJ8S50&NR=1

vipaji vya NEYONE


Hao ni baadhi ya wasanii ambao ni wanachama wa Newala Youth Network ( NEYONE) wakifanya vitu vyao wakiwa pamoja na baadhi ya washauri wa kikundi.

Volgers

Over mij

Mijn foto
He writes at his own capacity on issues related to global health ;Covering such topics as communicable and non-communicable diseases, Reforms in health care, health care and politics, health promotion, Technology in health care...and many more. Scientific publications: https://scholar.google.com/citations?user=93RLoFwAAAAJ&hl=en